Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha - cover

Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha

Inger Gammelgaard Madsen

  • 27 september 2019
  • 9788726270846
Wil ik lezen
  • Wil ik lezen
  • Aan het lezen
  • Gelezen
  • Verwijderen

Samenvatting:

Habari mpya katika kesi hii inamfanya Roland kuangalia tena mauaji ya mlinzi yule wa jela. Kwa sasa ana uhakika kuwa anamfahamu Uwe Finch na anaamua kumfahamisha Anne Larsen. Anne ndiye alipata michoro ya vidole vya Uwe Finch, na kwa muda uliopita, Roland ametambua kuwa Anne anaweza kuwa mtu wa msaada mkubwa katika uchunguzi wa polisi. Bertram anashtuka kutambua kilichomfanyikia mama yake ila kwa mara moja Anne Larsen, mwanahabari kutoka TV2 East Jutland, anafika. Bertram anaangua kilio mbele ya Anne huku akimueleza mambo yote na Anne anamuambia kuwa wanahitaji kuondoka mara moja. Ila muda umeyoyoma. Wakati Roland anasikia kuhusu kifo kipya kupitia redio ya gari lake anahofia kuwa huenda Anne Larsen ako hatarini pia na anajaribu kumpigia simu ila hapati majibu. Anapopokea simu, anatumai kuwa ni Anne ila inageuka na kuwa ni Leif Skovby, ofisa mmoja katika kesi ile ya mauaji. Leif anataka kuonana naye Roland, na kile anachomwambia kinafanya mambo yote kubainika. Roland anamtumia ofisa huyu kumsaidia kupata simu ya Anne ila, je, Roland atampata Anne kabla ya muda kuyoyoma? The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

We gebruiken cookies om er zeker van te zijn dat je onze website zo goed mogelijk beleeft. Als je deze website blijft gebruiken gaan we ervan uit dat je dat goed vindt. Ok