Mitihani Kielelezo Ya Kiswahili KCSE ni kitabu cha mazoezi katika karatasi zote tatu za mtihani wa Kiswahili. Kitawafaa sana wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani wa KCSE. Ipo mifano ya majibu kielelezo kwa ajili ya mazoezi mwafaka.
We gebruiken cookies om er zeker van te zijn dat je onze website zo goed mogelijk beleeft. Als je deze website blijft gebruiken gaan we ervan uit dat je dat goed vindt.
Ok